Proverbs 22:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tega sikio usikie maneno ya wenye hekima, elekeza moyo wako uzingatie maarifa yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tega sikio na usikie misemo ya wenye hekima, elekeza moyo wako kwenye yale nifundishayo,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tega sikio lako uyasikie maneno ya wenye hekima, na kuuelekeza moyo wako kwa maarifa yangu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tega sikio usikie maneno ya wenye hekima, elekeza moyo wako uzingatie maarifa yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tega sikio na usikie misemo ya wenye hekima, elekeza moyo wako kwenye yale nifundishayo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tega sikio na usikie misemo ya wenye hekima, elekeza moyo wako kwenye yale nifundishayo,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tega sikio lako uyasikie maneno ya wenye hekima, na kuuelekeza moyo wako kwa maarifa yangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tega sikio usikie maneno ya wenye hekima, elekeza moyo wako uzingatie maarifa yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Litege sikio lako, uyasikilize maneno ya werevu wa kweli! Nao moyo wako uuelekezee ujuzi wangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tega sikio lako uyasikie maneno ya wenye hekima, na kuuelekeza moyo wako kwa maarifa yangu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tega sikio usikie maneno ya wenye hekima; elekeza moyo wako kwa maarifa yangu.