Proverbs 22:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe utafurahi endapo utayaweka moyoni, na kuyakariri kila wakati.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana inapendeza unapoyahifadhi moyoni mwako na kuwa nayo yote tayari mdomoni mwako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
maana ni vizuri kuyahifadhi ndani yako, hali yakithibitika pamoja midomoni mwako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe utafurahi endapo utayaweka moyoni, na kuyakariri kila wakati.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana inapendeza unapoyahifadhi moyoni mwako na kuwa nayo yote tayari midomoni mwako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana inapendeza unapoyahifadhi moyoni mwako na kuwa nayo yote tayari midomoni mwako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
maana ni vizuri kuyahifadhi ndani yako, hali yakithibitika pamoja midomoni mwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe utafurahi endapo utayaweka moyoni, na kuyakariri kila wakati.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ni mazuri ya kuyaangalia mwako ndani, yote pamoja yawe tayari kutumiwa na midomo yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
maana ni vizuri kuyahifadhi ndani yako, hali yakithibitika pamoja midomoni mwako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe utafurahi kama utayaweka ndani ya moyo, na kuyarudiliarudilia kila wakati.