Proverbs 22:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ninayependa kumfundisha leo ni wewe, ili tegemeo lako liwe kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ili tumaini lako liwe katika Mwenyezi Mungu, hata wewe, ninakufundisha leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ili matumaini yako uyaweke kwa Bwana, leo nimekujulisha wewe haya, naam, wewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ninayependa kumfundisha leo ni wewe, ili tegemeo lako liwe kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ili tumaini lako liwe katika BWANA, hata wewe, ninakufundisha leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ili tumaini lako liwe katika bwana, hata wewe, ninakufundisha leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ili matumaini yako uyaweke kwa BWANA, leo nimekujulisha wewe haya, naam, wewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ninayependa kumfundisha leo ni wewe, ili tegemeo lako liwe kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kwamba: Bwana na awe kimbilio lako, kwa hiyo ninakufundisha leo wewe mwenyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ili matumaini yako uyaweke kwa BWANA, leo nimekujulisha wewe haya, naam, wewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninayependa kumufundisha leo ni wewe, kusudi tumaini lako likuwe kwa Yawe.