Proverbs 22:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Matajiri na maskini wana hali hii moja: Mwenyezi-Mungu ni Muumba wao wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tajiri na maskini wanafanana kwa hili: Mwenyezi Mungu ni Muumba wao wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tajiri na maskini hukutana pamoja; Bwana ndiye aliyewaumba wote wawili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Matajiri na maskini wana hali hii moja: Mwenyezi-Mungu ni Muumba wao wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tajiri na maskini wanafanana kwa hili: BWANA ni Muumba wao wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tajiri na maskini wanafanana kwa hili: bwana ni Muumba wao wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tajiri na maskini hukutana pamoja; BWANA ndiye aliyewaumba wote wawili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Matajiri na maskini wana hali hii moja: Mwenyezi-Mungu ni Muumba wao wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkwasi na maskini hukutana, aliyewaumba wote wawili ni Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tajiri na maskini hukutana pamoja; BWANA ndiye aliyewaumba wote wawili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watajiri na wamasikini wana hali hii moja: Yawe ni Muumba wao wote.