Proverbs 22:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Mwenyezi-Mungu atawatetea; atawapokonya maisha yao wale watakaowadhulumu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu Mwenyezi Mungu atawatetea naye atawateka hao waliowateka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu Bwana atawatetea; Naye atawateka uhai wao waliowateka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Mwenyezi-Mungu atawatetea; atawapokonya maisha yao wale watakaowadhulumu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu BWANA atalichukua shauri lao naye atawateka wao waliowateka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu bwana atalichukua shauri lao naye atawateka wao waliowateka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu BWANA atawatetea; Naye atawateka uhai wao waliowateka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Mwenyezi-Mungu atawatetea; atawapokonya maisha yao wale watakaowadhulumu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana huwagombea, wakigombezwa na watu, nao wanaowapokonya huwapokonya roho zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu BWANA atawatetea; Naye atawateka uhai wao waliowateka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana Yawe atawatetea; atagandamiza maisha ya wale wanaowagandamiza.