Proverbs 22:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usiwe mmoja wao wenye kuweka ahadi, watu ambao hujiweka wadhamini wa madeni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiwe mwenye kupeana mikono katika rehani, au kuweka dhamana kwa ajili ya madeni;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usiwe mmoja wao wawekao rehani; Au walio wadhamini kwa deni za watu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usiwe mmoja wao wenye kuweka ahadi, watu ambao hujiweka wadhamini wa madeni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiwe mwenye kupana mikono katika rehani, au kuweka dhamana kwa ajili ya madeni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiwe mwenye kupana mikono katika rehani, au kuweka dhamana kwa ajili ya madeni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usiwe mmoja wao wawekao rehani; Au walio wadhamini kwa deni za watu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usiwe mmoja wao wenye kuweka ahadi, watu ambao hujiweka wadhamini wa madeni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usiwe nao wanaopeana mikono wakijitoa kuwa dhamana za wengine kwa ajili ya madeni yao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiwe mmoja wao wawekao rehani; Au walio wadhamini kwa deni za watu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usikuwe mumoja wa wale ambao wanajitoa rehani kwa madeni ya wengine.