Proverbs 22:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ikiwa huna chochote cha kulipa, hata kitanda unacholalia kitachukuliwa!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ukikosa njia ya kulipa, kitanda chako kitachukuliwa ukiwa umekilalia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama huna kitu cha kulipa; Kwani ukaondolee kitanda chako chini yako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ikiwa huna chochote cha kulipa, hata kitanda unacholalia kitachukuliwa!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ukikosa njia ya kulipa, kitanda chako ukilaliacho kitachukuliwa ukiwa umekilalia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ukikosa njia ya kulipa, kitanda chako kitachukuliwa ukiwa umekilalia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama huna kitu cha kulipa; Kwani ukaondolewe kitanda chako chini yako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ikiwa huna chochote cha kulipa, hata kitanda unacholalia kitachukuliwa!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usipoweza kulipa halafu, mbona wakichukue kitanda chako, unachokilalia?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama huna kitu cha kulipa; Kwani ukaondolee kitanda chako chini yako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa hauna chochote cha kulipa, hata kitanda unacholalia kitanyanganywa!