Proverbs 22:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukinyenyekea na kumcha Mwenyezi-Mungu, utapata tuzo: Fanaka, heshima na uhai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unyenyekevu na kumcha Mwenyezi Mungu huleta utajiri, heshima na uzima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Thawabu ya unyenyekevu ambao ni kumcha Bwana Ni utajiri, na heshima, nayo ni uzima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukinyenyekea na kumcha Mwenyezi-Mungu, utapata tuzo: fanaka, heshima na uhai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unyenyekevu na kumcha BWANA huleta utajiri, heshima na uzima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unyenyekevu na kumcha bwana huleta utajiri, heshima na uzima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Thawabu ya unyenyekevu ambao ni kumcha BWANA Ni utajiri, na heshima, nayo ni uzima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukinyenyekea na kumcha Mwenyezi-Mungu, utapata tuzo: Fanaka, heshima na uhai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mapato ya unyenyekevu na ya kumcha Bwana ni mali na macheo na uzima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Thawabu ya unyenyekevu ambao ni kumcha BWANA Ni utajiri, na heshima, nayo ni uzima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukinyenyekea na kumwogopa Yawe, utapata zawadi ya fanaka, heshima, na uzima.