Proverbs 22:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Apandaye dhuluma atavuna janga; uwezo wake wa kutenda mabaya utavunjwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye aupandaye uovu huvuna taabu, nayo fimbo ya ghadhabu yake itaangamizwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye apandaye uovu atavuna msiba, Na fimbo ya ghadhabu yake itakoma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Apandaye dhuluma atavuna janga; uwezo wake wa kutenda mabaya utavunjwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye aupandaye uovu huvuna taabu, nayo fimbo ya ghadhabu yake itaangamizwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye aupandaye uovu huvuna taabu, nayo fimbo ya ghadhabu yake itaangamizwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye apandaye uovu atavuna msiba, Na fimbo ya ghadhabu yake itakoma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Apandaye dhuluma atavuna janga; uwezo wake wa kutenda mabaya utavunjwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Apandaye uovu huvuna mapotovu, nayo fimbo iliyomtia ukali itakomeshwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye apandaye uovu atavuna msiba, Na fimbo ya ghadhabu yake itakoma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayepanda ubaya atavuna hasara. Uwezo wake wa kutenda mabaya utavunjwa.