Proverbs 23:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usiondoe alama ya mpaka wa zamani, wala usiingilie mashamba ya yatima,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usisogeze jiwe la mpaka wa zamani wala kunyemelea kwenye mashamba ya yatima,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usiiondoe alama ya mpaka wa zamani; Wala usiingie katika mashamba ya yatima;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usiondoe alama ya mpaka wa zamani, wala usiingilie mashamba ya yatima,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiondoe jiwe la mpaka wa zamani wala kujiingiza kwenye mashamba ya yatima,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usisogeze jiwe la mpaka wa zamani wala kunyemelea kwenye mashamba ya yatima,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usiiondoe alama ya mpaka wa zamani; Wala usiingie katika mashamba ya yatima;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usiondoe alama ya mpaka wa zamani, wala usiingilie mashamba ya yatima,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usisogeze mawe ya mipaka ya kale, wala usiingie mashambani kwao waliofiwa na wazazi wao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiiondoe alama ya mpaka wa zamani; Wala usiingie katika mashamba ya yatima;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usiondoe kitambulisho cha mupaka wa zamani, wala usinyanganye mashamba ya wayatima,