Proverbs 23:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tumia akili zako kufuata mafundisho; tumia masikio yako kusikiliza maarifa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Elekeza moyo wako kwenye mafundisho na masikio yako kwenye maneno ya maarifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Elekeza moyo wako kusikiliza mafundisho; Tega masikio yako kusikia maneno ya maarifa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tumia akili zako kufuata mafundisho; tumia masikio yako kusikiliza maarifa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Elekeza moyo wako kwenye mafundisho na masikio yako kwenye maneno ya maarifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Elekeza moyo wako kwenye mafundisho na masikio yako kwenye maneno ya maarifa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Elekeza moyo wako kusikiliza mafundisho; Tega masikio yako kusikia maneno ya maarifa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tumia akili zako kufuata mafundisho; tumia masikio yako kusikiliza maarifa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ushurutishe moyo wako, uonyeke, nayo maskio yako, yasikie maneno ya ujuzi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Elekeza moyo wako kusikiliza mafundisho; Tega masikio yako kusikia maneno ya maarifa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tumia akili yako kwa kufuata mafundisho; tumia masikio yako kwa kusikiliza maarifa.