Proverbs 23:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukimtandika kiboko, utayaokoa maisha yake na kuzimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwadhibu kwa fimbo na kuiokoa nafsi yake kutoka mautini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utampiga kwa fimbo, Na kumwokoa nafsi yake na Kuzimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukimtandika kiboko, utayaokoa maisha yake na kuzimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwadhibu kwa fimbo na kuiokoa nafsi yake kutoka mautini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwadhibu kwa fimbo na kuiokoa nafsi yake kutoka mautini
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utampiga kwa fimbo, Na kumwokoa nafsi yake na Kuzimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukimtandika kiboko, utayaokoa maisha yake na kuzimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe ukimpiga kwa fimbo utaiokoa roho yake kuzimuni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utampiga kwa fimbo, Na kumwokoa nafsi yake na Kuzimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukimupiga fimbo, utayaokoa maisha yake na kuzimu.