Proverbs 23:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Moyo wako usiwaonee wivu wenye dhambi, ila endelea kumcha Mwenyezi-Mungu siku zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiuruhusu moyo wako kuwaonea wivu wenye dhambi, bali kila mara uwe na bidii katika kumcha Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Moyo wako usiwahusudu wenye dhambi; Bali mche Bwana mchana kutwa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Moyo wako usiwaonee wivu wenye dhambi, ila endelea kumcha Mwenyezi-Mungu siku zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiuruhusu moyo wako kuwaonea wivu wenye dhambi, bali kila mara uwe na bidii katika kumcha BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiuruhusu moyo wako kuwaonea wivu wenye dhambi, bali kila mara uwe na bidii katika kumcha bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Moyo wako usiwahusudu wenye dhambi; Bali mche BWANA mchana kutwa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Moyo wako usiwaonee wivu wenye dhambi, ila endelea kumcha Mwenyezi-Mungu siku zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Moyo wako usione wivu kwa ajili ya wakosaji, ila kaa tu na kumcha Bwana siku zote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Moyo wako usiwahusudu wenye dhambi; Bali mche BWANA mchana kutwa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Moyo wako usiwaonee wivu wenye zambi, lakini endelea kumwogopa Yawe siku zote.