Proverbs 23:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakika kuna kesho ya milele, na tumaini lako halitakuwa bure.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika kuna tumaini la baadaye kwa ajili yako, nalo tarajio lako halitakatiliwa mbali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana bila shaka iko thawabu; Na tumaini lako halitabatilika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakika kuna kesho ya milele, na tumaini lako halitakuwa bure.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika kuna tumaini la baadaye kwa ajili yako, nalo taraja lako halitakatiliwa mbali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika kuna tumaini la baadaye kwa ajili yako, nalo tarajio lako halitakatiliwa mbali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana bila shaka iko thawabu; Na tumaini lako halitabatilika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakika kuna kesho ya milele, na tumaini lako halitakuwa bure.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani yote yako na mwisho wao, lakini kingojeo chako hakitaangamia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana bila shaka iko thawabu; Na tumaini lako halitabatilika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakika siku nzuri zitafika na tumaini lako halitakuwa la bure.