Proverbs 23:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwanangu, nisikilize kwa makini, shikilia mwenendo wa maisha yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwanangu, nipe moyo wako, macho yako na yafuate njia zangu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanangu, nipe moyo wako; Macho yako yapendezwe na njia zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwanangu, nisikilize kwa makini, shikilia mwenendo wa maisha yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwanangu, nipe moyo wako, macho yako na yafuate njia zangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwanangu, nipe moyo wako, macho yako na yafuate njia zangu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanangu, nipe moyo wako; Macho yako yapendezwe na njia zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwanangu, nisikilize kwa makini, shikilia mwenendo wa maisha yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwanangu, nipe moyo wako, njia zangu ziyapendeze macho yako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanangu, nipe moyo wako; Macho yako yapendezwe na njia zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwana wangu, unisikilize kwa uangalifu, ufuate mwenendo wa maisha yangu.