Proverbs 23:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye hunyemelea kama mnyanganyi, husababisha wanaume wengi kukosa uaminifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama mnyang’anyi, hungojea akivizia, naye huzidisha wasio waaminifu miongoni mwa wanaume.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, huotea kama mnyang'anyi; Huwaongeza wenye hila katika wanadamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye hunyemelea kama mnyang'anyi, husababisha wanaume wengi kukosa uaminifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mnyang'anyi, hungojea akivizia, naye huzidisha wasio waaminifu miongoni mwa wanaume.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mnyang’anyi, hungojea akivizia, naye huzidisha wasio waaminifu miongoni mwa wanaume.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, huotea kama mnyang'anyi; Huwaongeza wenye hila katika wanadamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye hunyemelea kama mnyanganyi, husababisha wanaume wengi kukosa uaminifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye huotea kama mpokonyi, awaongoze kuwa wengi, wao wavunjao maagano kwa watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, huotea kama mnyang’anyi; Huwaongeza wenye hila katika wanadamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye anavizia kama munyanganyi, anasababisha wanaume wengi kukosa uaminifu.