Proverbs 23:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni wale ambao hawabanduki penye divai, wale wakaao chonjo kuonja divai iliyokolezwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni hao wanaokaa sana kwenye mvinyo, hao wanaoenda kuonja mabakuli ya mvinyo uliochanganywa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni wale wakaao sana kwenye mvinyo; Waendao kutafuta divai iliyochanganyika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni wale ambao hawabanduki penye divai, wale wakaao chonjo kuonja divai iliyokolezwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni hao wakaao sana kwenye mvinyo, hao waendao kuonja mabakuli ya mvinyo uliochanganywa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni hao wakaao sana kwenye mvinyo, hao waendao kuonja mabakuli ya mvinyo uliochanganywa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni wale wakaao sana kwenye mvinyo; Waendao kutafuta divai iliyochanganyika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni wale ambao hawabanduki penye divai, wale wakaao chonjo kuonja divai iliyokolezwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndio wao wanaokunywa mvinyo usiku kucha, ndio wao watembeao kutafuta vileo vikali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni wale wakaao sana kwenye mvinyo; Waendao kutafuta divai iliyochanganyika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni wale ambao hawabanduki penye divai, wale ambao wanatafuta divai iliyochanganywa.