Proverbs 23:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usiitamani divai hata kwa wekundu wake, hata kama inametameta katika bilauri, na kushuka taratibu unapoinywa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiukodolee macho mvinyo ukiwa mwekundu, unapometameta kwenye bilauri, unaposhuka taratibu!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usiitazame mvinyo iwapo ni nyekundu; Iitiapo bilauri rangi yake, ishukapo taratibu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usiitamani divai hata kwa wekundu wake, hata kama inametameta katika bilauri, na kushuka taratibu unapoinywa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiukodolee macho mvinyo wakati ukiwa mwekundu, wakati unapometameta kwenye bilauri, wakati ushukapo taratibu!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiukodolee macho mvinyo wakati ukiwa mwekundu, wakati unapometameta kwenye bilauri, wakati ushukapo taratibu!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usiutazame mvinyo iwapo ni mwekundu; uitiapo bilauri rangi yake, ushukapo taratibu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usiitamani divai hata kwa wekundu wake, hata kama inametameta katika bilauri, na kushuka taratibu unapoinywa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usiitazame mvinyo, jinsi wekundu wake unavyopendeza, jinsi inavyometuka katika bilauri, inavyozidi utamu, ukiinywa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiitazame mvinyo iwapo ni nyekundu; Iitiapo bilauri rangi yake, ishukapo taratibu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usiitamani divai hata kwa wekundu wake, hata kama inametameta katika kilauri, na kushuka vizuri unapoikunywa.