Proverbs 23:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwishowe huuma kama nyoka; huchoma kama nyoka mwenye sumu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwishowe huuma kama nyoka na kutia sumu yake kama nyoka mwenye sumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwisho wake huuma kama nyoka; Huchoma kama fira.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwishowe huuma kama nyoka; huchoma kama nyoka mwenye sumu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwisho huuma kama nyoka na kutia sumu yake kama nyoka mwenye sumu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwishowe huuma kama nyoka na kutia sumu yake kama nyoka mwenye sumu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwisho wake huuma kama nyoka; Huchoma kama fira.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwishowe huuma kama nyoka; huchoma kama nyoka mwenye sumu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwisho huuma kama nyoka, huchoma kama pili;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwisho wake huuma kama nyoka; Huchoma kama fira.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mwisho inauma kama nyoka; inachoma kama fira mwenye sumu.