Proverbs 23:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Macho yako yataona mauzauza, moyo wako utatoa mambo yaliyopotoka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Macho yako yataona mambo mageni, na moyo wako kuwazia mambo yaliyopotoka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Macho yako yataona mambo mageni; Na moyo wako utatoa yaliyopotoka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Macho yako yataona mauzauza, moyo wako utatoa mambo yaliyopotoka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Macho yako yataona mambo mageni na moyo wako kuwazia mambo yaliyopotoka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Macho yako yataona mambo mageni na moyo wako kuwazia mambo yaliyopotoka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Macho yako yataona mambo mageni; Na moyo wako utatoa yaliyopotoka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Macho yako yataona mauzauza, moyo wako utatoa mambo yaliyopotoka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, macho yako yatakapoona mambo mageni, nao moyo wako utakaposema mapotovu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Macho yako yataona mambo mageni; Na moyo wako utatoa yaliyopotoka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Macho yako yataona mambo ya ajabu, moyo wako utatoa mambo yaliyopotoka.