Proverbs 23:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ikiwa unayo hekima ya kutosha, usijitaabishe kutafuta utajiri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usijitaabishe ili kuupata utajiri, uwe na hekima kuonesha kujizuia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usijitaabishe ili kupata utajiri; Acha kuzitegemea akili zako mwenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ikiwa unayo hekima ya kutosha, usijitaabishe kutafuta utajiri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usijitaabishe ili kuupata utajiri, uwe na hekima kuonyesha kujizuia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usijitaabishe ili kuupata utajiri, uwe na hekima kuonyesha kujizuia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usijitaabishe ili kupata utajiri; Acha kuzitegemea akili zako mwenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ikiwa unayo hekima ya kutosha, usijitaabishe kutafuta utajiri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usijisumbue kupata mali nyingi, ukaacha kuutumia utambuzi wako kwa ajili ya hizo mali!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usijitaabishe ili kupata utajiri; Acha kuzitegemea akili zako mwenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usijichokeshe na kutafuta utajiri; acha kufikiri juu yake.