Proverbs 23:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
maana moyoni mwake anahesabu unachokula. Atakuambia, “Kula, kunywa!” Lakini moyoni mwake hayuko pamoja nawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana yeye ni aina ya mtu ambaye kila mara anafikiri kuhusu gharama. Anakuambia, “Kula na kunywa,” lakini moyo wake hauko pamoja nawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo. Akuambia, Haya, kula, kunywa; Lakini moyo wake hauwi pamoja nawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
maana moyoni mwake anahesabu unachokula. Atakuambia, “Kula, kunywa!” lakini moyoni mwake hayuko pamoja nawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana yeye ni aina ya mtu ambaye kila mara anafikiri juu ya gharama. Anakuambia, “Kula na kunywa,” lakini moyo wake hauko pamoja nawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana yeye ni aina ya mtu ambaye kila mara anafikiri juu ya gharama. Anakuambia, “Kula na kunywa,” lakini moyo wake hauko pamoja nawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo. Akuambia, Haya, kula, kunywa; Lakini moyo wake hauwi pamoja nawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
maana moyoni mwake anahesabu unachokula. Atakuambia, “Kula, kunywa!” Lakini moyoni mwake hayuko pamoja nawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani yeye ni kama mtu ahesabuye yote rohoni mwake; hukuambia: Haya! Ule, unywe! lakini moyo wake hauko kwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo. Akuambia, Haya, kula, kunywa; Lakini moyo wake hauwi pamoja nawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
maana ndani ya moyo wake anahesabu unachokula. Atakuambia: “Kula, kunywa!” Lakini ndani ya moyo wake hayuko pamoja nawe.