Proverbs 24:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwanangu, ule asali maana ni nzuri; sega la asali ni tamu mdomoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ule asali mwanangu, kwa kuwa ni nzuri; asali kutoka sega ni tamu kwa kuonja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanangu, ule asali, kwa maana ni njema, Na sega la asali lililo tamu ulionjapo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwanangu, ule asali maana ni nzuri; sega la asali ni tamu mdomoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ule asali mwanangu, kwa kuwa ni nzuri; asali kutoka kwenye sega ni tamu kwa kuonja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ule asali mwanangu, kwa kuwa ni nzuri; asali kutoka kwenye sega ni tamu kwa kuonja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanangu, ule asali, kwa maana ni njema, Na sega la asali lililo tamu ulionjapo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwanangu, ule asali maana ni nzuri; sega la asali ni tamu mdomoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwanangu, ule asali, kwani ni njema, ile asali iliyo safi yenyewe, kwani ni tamu, ukiitia kinywani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanangu, ule asali, kwa maana ni njema, Na sega la asali lililo tamu ulionjapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwana wangu, ukule asali maana ni nzuri; sega la asali ni tamu katika kinywa chako.