Proverbs 24:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndivyo ilivyo hekima nafsini mwako; ukiipata utakuwa na matazamio mema, wala tumaini lako halitakuwa la bure.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ujue pia kwamba hekima ni tamu kwa nafsi yako: Ukiipata, kuna matumaini kwako ya siku zijazo, nalo tumaini lako halitakatiliwa mbali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi utaijua hekima kuwa tamu kwa nafsi yako; Ikiwa umekwisha kuiona; Ndipo itakapofuata thawabu; Wala tumaini lako halitabatilika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndivyo ilivyo hekima nafsini mwako; ukiipata utakuwa na matazamio mema, wala tumaini lako halitakuwa la bure.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ujue pia kwamba hekima ni tamu kwa nafsi yako, kama ukiipata, kuna matumaini kwako ya siku zijazo, nalo tumaini lako halitakatiliwa mbali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ujue pia kwamba hekima ni tamu kwa nafsi yako, kama ukiipata, kuna matumaini kwako ya siku zijazo, nalo tumaini lako halitakatiliwa mbali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi utaijua hekima kuwa tamu kwa nafsi yako; Ikiwa umekwisha kuiona; Ndipo itakapofuata thawabu; Wala tumaini lako halitabatilika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndivyo ilivyo hekima nafsini mwako; ukiipata utakuwa na matazamio mema, wala tumaini lako halitakuwa la bure.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Nao werevu wa kweli uujue, ya kuwa ni utamu wa roho; ukiupata, basi, mwisho utafanikiwa, nacho kingojeo chako hakitang'oleka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi utaijua hekima kuwa tamu kwa nafsi yako; Ikiwa umekwisha kuiona; Ndipo itakapofuata thawabu; Wala tumaini lako halitabatilika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndivyo hekima itakavyokuwa katika nafsi yako; ukiipata, siku nzuri zitakuja na tumaini lako halitakuwa la bure.