Proverbs 24:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
maana Mwenyezi-Mungu aonaye hayo hatapendezwa; huenda akaacha kumwadhibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu asije akaona na kuchukia akaiondoa ghadhabu yake mbali naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana asije akaliona hilo, likamkasirisha; Akageuzia mbali naye hasira yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
maana Mwenyezi-Mungu aonaye hayo hatapendezwa; huenda akaacha kumwadhibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA asije akaona na kuchukia akaiondoa ghadhabu yake mbali naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana asije akaona na kuchukia akaiondoa ghadhabu yake mbali naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA asije akaliona hilo, likamkasirisha; Akageuzia mbali naye hasira yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
maana Mwenyezi-Mungu aonaye hayo hatapendezwa; huenda akaacha kumwadhibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana asivione, maana ni vibaya machoni pake, akaacha kumtolea yule makali yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA asije akaliona hilo, likamkasirisha; Akageuzia mbali naye hasira yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
maana Yawe akiona yale hatapendezwa; ataacha kumuazibu.