Proverbs 24:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
maana fikira zao zote ni juu ya ukatili, hamna jema lolote litokalo midomoni mwao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana mioyo yao hupanga mambo ya jeuri, nayo midomo yao husema kuhusu kuleta madhara.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana moyo wao hufikiri dhuluma, Na midomo yao huongea madhara.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
maana fikira zao zote ni juu ya ukatili, hamna jema lolote litokalo midomoni mwao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana mioyo yao hupanga mambo ya jeuri, nayo midomo yao husema juu ya kuleta taabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana mioyo yao hupanga mambo ya jeuri, nayo midomo yao husema juu ya kuleta madhara.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana moyo wao hufikiri dhuluma, Na midomo yao huongea madhara.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
maana fikira zao zote ni juu ya ukatili, hamna jema lolote litokalo midomoni mwao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mioyo yao huwaza mwangamizo, nayo midomo yao husema makorofi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana moyo wao hufikiri dhuluma, Na midomo yao huongea madhara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
maana mafikiri yao yote ni juu ya kutesa tu, nayo midomo yao inasema mabaya.