Proverbs 24:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
maana mwovu hatakuwa na mema baadaye; taa ya uhai wake itazimwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana mpotovu hana tumaini la siku zijazo, nayo taa ya waovu itazimwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana mtu mbaya hapati thawabu; Taa ya mtu mbaya itazimika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
maana mwovu hatakuwa na mema baadaye; taa ya uhai wake itazimwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana mtu mbaya hana tumaini la siku zijazo, nayo taa ya mtu mwovu itazimwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana mtu mbaya hana tumaini la siku zijazo, nayo taa ya waovu itazimwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana mtu mbaya hapati thawabu; Taa ya mtu mbaya itazimika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
maana mwovu hatakuwa na mema baadaye; taa ya uhai wake itazimwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mwisho wake mbaya hautakuwa mwema, nazo taa zao wasiomcha Mungu huzimika.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana mtu mbaya hapati thawabu; Taa ya mtu mbaya itazimika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
maana siku mbaya zitamufikia mwovu; taa ya uzima wake itazimika.