Proverbs 24:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwanangu, umche Mwenyezi-Mungu na kumheshimu mfalme, wala usishirikiane na wale wasio na msimamo,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwanangu, mche Mwenyezi Mungu na mfalme, wala usijiunge na waasi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanangu, mche Bwana, na mfalme; Wala usishirikiane na wenye kigeugeu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwanangu, umche Mwenyezi-Mungu na kumheshimu mfalme, wala usishirikiane na wale wasio na msimamo,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwanangu, mche BWANA na mfalme, wala usijiunge na waasi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwanangu, mche bwana na mfalme, wala usijiunge na waasi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanangu, mche BWANA, na mfalme; Wala usishirikiane na wenye kigeugeu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwanangu, umche Mwenyezi-Mungu na kumheshimu mfalme, wala usishirikiane na wale wasio na msimamo,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwanangu, mwogope Bwana, hata mfalme! Usifanye bia nao wanaoigeuzageuza mioyo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanangu, mche BWANA, na mfalme; Wala usishirikiane na wenye kigeugeu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwana wangu, uwaheshimu Yawe na mufalme, wala usishirikiane na waasi,