Proverbs 24:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ifuatayo pia ni misemo ya wenye hekima: Kupendelea watu katika hukumu si vizuri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hii pia ni misemo ya wenye hekima: Kuonesha upendeleo katika hukumu si vyema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya nayo pia ni maneno ya wenye akili. Kupendelea watu katika hukumu si kwema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ifuatayo pia ni misemo ya wenye hekima: Kupendelea watu katika hukumu si vizuri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii pia ni misemo ya wenye hekima: Kuonyesha upendeleo katika hukumu si vyema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii pia ni misemo ya wenye hekima: Kuonyesha upendeleo katika hukumu si vyema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya nayo pia ni maneno ya wenye akili. Kupendelea watu katika hukumu si kwema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ifuatayo pia ni misemo ya wenye hekima: Kupendelea watu katika hukumu si vizuri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mifano hii nayo ilitoka kwa watu werevu wa kweli. Upendeleo haufai kabisa shaurini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya nayo pia ni maneno ya wenye akili. Kupendelea watu katika hukumu si kwema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hii ni misemo mingine ya wenye hekima. Kupendelea watu katika hukumu si vizuri.