Proverbs 24:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayemwachilia mtu mwenye hatia, hulaaniwa na watu na kuchukiwa na mataifa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeyote amwambiaye mwenye hatia, “Wewe huna hatia,” makabila ya watu watamlaani, na mataifa watamkana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amwambiaye mtu mwovu, Wewe una haki; Kabila za watu watamlaani, taifa watamchukia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayemwachilia mtu mwenye hatia, hulaaniwa na watu na kuchukiwa na mataifa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ye yote amwambiaye mwenye hatia, “Wewe huna hatia,” Watu watamlaani na mataifa yatamkana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeyote amwambiaye mwenye hatia, “Wewe huna hatia,” Kabila zitamlaani na mataifa yatamkana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amwambiaye mtu mwovu, Wewe una haki; Makabila ya watu watamlaani, taifa watamchukia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayemwachilia mtu mwenye hatia, hulaaniwa na watu na kuchukiwa na mataifa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Amwambiaye mkosaji: Hukukosa, ndiye, makabila ya watu watakayemwapiza, koo zote watamtakia mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amwambiaye mtu mwovu, Wewe una haki; Kabila za watu watamlaani, taifa watamchukia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayemwachilia mutu mwenye kosa analaaniwa na watu na kuchukiwa na mataifa.