Proverbs 24:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyumba hujengwa kwa hekima, na kuimarishwa kwa busara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hekima nyumba hujengwa, nayo kupitia ufahamu huimarishwa;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nyumba hujengwa kwa hekima, Na kwa ufahamu huthibitika,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyumba hujengwa kwa hekima, na kuimarishwa kwa busara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hekima nyumba hujengwa, nayo kwa njia ya ufahamu huimarishwa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hekima nyumba hujengwa, nayo kwa njia ya ufahamu huimarishwa
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nyumba hujengwa kwa hekima, Na kwa ufahamu huthibitika,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyumba hujengwa kwa hekima, na kuimarishwa kwa busara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyumba hujengwa kwa werevu wa kweli ikishikizwa kwa utambuzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nyumba hujengwa kwa hekima, Na kwa ufahamu huthibitika,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyumba inajengwa kwa hekima, na kuimarishwa kwa ufahamu.