Proverbs 24:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kumbuka kwamba uwapo usingizini, umaskini utakuvamia kama mnyanganyi, ufukara kama mtu mwenye silaha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na umaskini utakuja juu yako kama mnyang’anyi, na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo, umaskini wako huja kama mnyang'anyi, Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kumbuka kwamba uwapo usingizini, umaskini utakuvamia kama mnyang'anyi, ufukara kama mtu mwenye silaha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao umaskini utakuja juu yako kama mnyang'anyi, na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hivyo umaskini utakuja juu yako kama mnyang’anyi, na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo, umaskini wako huja kama mnyang'anyi, Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kumbuka kwamba uwapo usingizini, umaskini utakuvamia kama mnyanganyi, ufukara kama mtu mwenye silaha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kisha umaskini wako utakujia na kupiga mbio pamoja na ukosefu ulio kama mtu aliyevaa mata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo, umaskini wako huja kama mnyang’anyi, Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha. KITABU CHA NNE
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini kumbuka kwamba unapokuwa katika usingizi, umasikini utakufikia kama munyanganyi, ukosefu kama mutu mwenye silaha.