Proverbs 24:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana kwa mwongozo mzuri waweza kupigana vita, na kwa washauri wengi ushindi hupatikana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa kufanya vita unahitaji uongozi na kwa ushindi washauri wengi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana kwa mashauri ya akili utafanya vita; Na kwa wingi wa washauri huja wokovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana kwa mwongozo mzuri waweza kupigana vita, na kwa washauri wengi ushindi hupatikana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa kufanya vita unahitaji maongozi na kwa ushindi washauri wengi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa kufanya vita unahitaji uongozi na kwa ushindi washauri wengi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana kwa mashauri ya akili utafanya vita; Na kwa wingi wa washauri huja wokovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana kwa mwongozo mzuri waweza kupigana vita, na kwa washauri wengi ushindi hupatikana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kwa kuzitumia akili utapiga vita, wokovu nao huja kwa kupiga mashauri yaliyo mema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana kwa mashauri ya akili utafanya vita; Na kwa wingi wa washauri huja wokovu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana kwa mipango mizuri unaweza kupigana vita, na kwa washauri wengi ushindi unapatikana.