Proverbs 25:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hizi nazo ni methali nyingine za mfalme Solomoni walizonakili watu wa Hezekia, mfalme wa Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hizi ni mithali zaidi za Sulemani, zilizonakiliwa na watumishi wa Hezekia mfalme wa Yuda:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hizi nazo ni mithali za Sulemani, ambazo watu wa Hezekia, mfalme wa Yuda, walizinakili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hizi nazo ni methali nyingine za mfalme Solomoni walizonakili watu wa Hezekia, mfalme wa Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hizi ni mithali zaidi za Solomoni, zilizonakiliwa na watu wa Hezekia mfalme wa Yuda:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hizi ni mithali zaidi za Sulemani, zilizonakiliwa na watu wa Hezekia mfalme wa Yuda:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hizi nazo ni mithali za Sulemani, ambazo watu wa Hezekia, mfalme wa Yuda, walizinakili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hizi nazo ni methali nyingine za mfalme Solomoni walizonakili watu wa Hezekia, mfalme wa Yuda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hii nayo ni mifano ya Salomo, waliyoikusanya watu wa Hizikia, mfalme wa Yuda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hizi nazo ni mithali za Sulemani, ambazo watu wa Hezekia, mfalme wa Yuda, walizinakili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hizi nazo ni mezali nyingine za mufalme Solomono zilizoandikwa na watu wa Hezekia, mufalme wa Yuda.