Proverbs 25:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
watu wasije wakajua kuna siri, ukajiharibia jina lako daima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ama yeye aisikiaye aweza kukuaibisha, na kamwe sifa yako mbaya haitaondoka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye asikiaye asije akakutukana; Na aibu yako isiondoke.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
watu wasije wakajua kuna siri, ukajiharibia jina lako daima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ama yeye aisikiaye aweza kukuaibisha na kamwe sifa yako mbaya haitaondoka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ama yeye aisikiaye aweza kukuaibisha na kamwe sifa yako mbaya haitaondoka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye asikiaye asije akakutukana; Na aibu yako isiondoke.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
watu wasije wakajua kuna siri, ukajiharibia jina lako daima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mtu aisikiaye asikuapize, uchongezi wako ukakurudia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye asikiaye asije akakutukana; Na aibu yako isiondoke.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
watu wanaokusikia wasikuzarau, nawe usijiharibishie heshima kwa siku zote.