Proverbs 25:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa uvumilivu mtawala huweza kushawishika; ulimi laini huvunja mifupa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa uvumilivu mtawala aweza kushawishiwa, nao ulimi laini unaweza kuvunja mfupa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa uvumilivu mwingi mkuu husadikishwa; Na ulimi laini huvunja mfupa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa uvumilivu mtawala huweza kushawishika; ulimi laini huvunja mifupa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa njia ya uvumilivu mtawala aweza kushawishiwa, nao ulimi laini waweza kuvunja mfupa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa njia ya uvumilivu mtawala aweza kushawishiwa, nao ulimi laini waweza kuvunja mfupa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa uvumilivu mwingi mkuu husadikishwa; Na ulimi laini huvunja mfupa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa uvumilivu mtawala huweza kushawishika; ulimi laini huvunja mifupa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa uvumilivu hushindwa naye mwamuzi nao ulimi mwororo huvunja mifupa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa uvumilivu mwingi mkuu husadikishwa; Na ulimi laini huvunja mfupa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa uvumilivu mutawala anaweza kusadikishwa; ulimi laini unavunja mifupa.