Proverbs 25:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Upatapo asali kula kiasi cha kukutosha, usije ukaikinai na kuitapika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukipata asali, kula kiasi tu cha kukutosha, ukila zaidi, utatapika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Umeona asali? Kula kadiri ya kukutosha; Usije ukashiba na kuitapika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Upatapo asali kula kiasi cha kukutosha, usije ukaikinai na kuitapika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ukikuta asali, kula kiasi tu cha kukutosha, ukila zaidi, utatapika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ukipata asali, kula kiasi tu cha kukutosha, ukila zaidi, utatapika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Umeona asali? Kula kadiri ya kukutosha; Usije ukashiba na kuitapika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upatapo asali kula kiasi cha kukutosha, usije ukaikinai na kuitapika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama umeona asali, ule na kuipima, usije kuitapika, kama ulijishibisha sana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Umeona asali? Kula kadiri ya kukutosha; Usije ukashiba na kuitapika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unapopata asali, kula sehemu ya kukutoshelea, kusudi usishibe na kuitapika.