Proverbs 25:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usimtembelee jirani yako mara kwa mara, usije ukamchosha naye akakuchukia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nenda nyumbani mwa jirani yako mara chache; ukizidisha, atakukinai na atakuchukia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mguu wako usiingie katika nyumba ya jirani yako ila kwa kiasi; Asije akakukinai na kukuchukia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usimtembelee jirani yako mara kwa mara, usije ukamchosha naye akakuchukia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ingiza mguu wako nyumbani kwa jirani yako mara chache, ukizidisha, atakukinai na atakuchukia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ingiza mguu wako nyumbani kwa jirani yako mara chache, ukizidisha, atakukinai na atakuchukia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mguu wako usiingie katika nyumba ya jirani yako ila kwa kiasi; Asije akakukinai na kukuchukia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usimtembelee jirani yako mara kwa mara, usije ukamchosha naye akakuchukia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kawilia kuingia nyumbani mwa mwenzio, usije kumchokesha, akakuchukia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mguu wako usiingie katika nyumba ya jirani yako ila kwa kiasi; Asije akakukinai na kukuchukia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usimutembelee jirani yako mara kwa mara, kusudi asichoke nawe na kukuchukia.