Proverbs 25:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu hutukuzwa kwa kuficha mambo, lakini mfalme hutukuzwa kwa yale anayoeleza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni utukufu wa Mungu kuficha jambo, bali ni utukufu wa wafalme kuchunguza jambo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni utukufu wa Mungu kuficha jambo; Bali ni utukufu wa mfalme kuchunguza jambo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu hutukuzwa kwa kuficha mambo, lakini mfalme hutukuzwa kwa yale anayoeleza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni Utukufu wa Mungu kuficha jambo, bali ni utukufu wa wafalme kuchunguza jambo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni Utukufu wa Mungu kuficha jambo, bali ni utukufu wa wafalme kuchunguza jambo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni utukufu wa Mungu kuficha jambo; Bali ni utukufu wa mfalme kuchunguza jambo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu hutukuzwa kwa kuficha mambo, lakini mfalme hutukuzwa kwa yale anayoeleza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utukufu wake Mungu ni kufunika jambo, utukufu wao wafalme ni kufunua jambo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni utukufu wa Mungu kuficha jambo; Bali ni utukufu wa mfalme kuchunguza jambo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu anatukuzwa kwa kuficha mambo, lakini wafalme wanatukuzwa kwa kuchunguza mambo.