Proverbs 25:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Adui yako akiwa na njaa, mpe chakula; akiwa na kiu, mpe maji ya kunywa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama adui yako ana njaa, mpe chakula ale; kama ana kiu, mpe maji anywe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Adui yako akiwa ana njaa, mpe chakula; Tena akiwa ana kiu, mpe maji ya kunywa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Adui yako akiwa na njaa, mpe chakula; akiwa na kiu, mpe maji ya kunywa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama adui yako ana njaa, mpe chakula ale, kama ana kiu, mpe maji anywe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama adui yako ana njaa, mpe chakula ale; kama ana kiu, mpe maji anywe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Adui yako akiwa ana njaa, mpe chakula; Tena akiwa ana kiu, mpe maji ya kunywa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Adui yako akiwa na njaa, mpe chakula; akiwa na kiu, mpe maji ya kunywa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mchukivu wako akiwa ana njaa, mpe chakula! Akiwa ana kiu, mpe cha kunywa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Adui yako akiwa ana njaa, mpe chakula; Tena akiwa ana kiu, mpe maji ya kunywa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Adui yako akiwa na njaa, umupe chakula; akiwa na kiu, umupe maji ya kunywa.