Proverbs 25:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo utafanya apate aibu kali, kama makaa ya moto kichwani pake, naye Mwenyezi-Mungu atakutuza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kufanya hivyo, unaweka makaa ya moto yanayowaka kichwani pake, naye Mwenyezi Mungu atakupa thawabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana utatia makaa ya moto kichwani pake; Na Bwana atakupa thawabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo utafanya apate aibu kali, kama makaa ya moto kichwani pake, naye Mwenyezi-Mungu atakutuza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kufanya hivi, unampalia makaa ya moto kichwani pake, naye BWANA atakupa thawabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kufanya hivyo, unaweka makaa ya moto yanayowaka kichwani pake, naye bwana atakupa thawabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana utatia makaa ya moto kichwani pake; Na BWANA atakupa thawabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo utafanya apate aibu kali, kama makaa ya moto kichwani pake, naye Mwenyezi-Mungu atakutuza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hivyo utampalia makaa ya moto kichwani pake, naye Bwana atakulipa hayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana utatia makaa ya moto kichwani pake; Na BWANA atakupa thawabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo utamufezehesha, kama vile kumwanga makaa ya moto juu ya kichwa chake. Yawe atakupa zawadi.