Proverbs 25:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwadilifu akubaliye kufuata mambo ya mwovu, ni chemchemi iliyochafuliwa au kisima kilichotibuliwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama vile chemchemi iliyotibuliwa matope au kisima kilichotiwa taka ndivyo alivyo mtu mwenye haki akishiriki na waovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwenye haki amwangukiapo mtu mbaya Ni kama chemchemi iliyochafuka, Na kisima kilichokanyagwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwadilifu akubaliye kufuata mambo ya mwovu, ni chemchemi iliyochafuliwa au kisima kilichotibuliwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama vile chemchemi iliyotibuliwa matope au kisima kilichotiwa taka ndivyo alivyo mtu mwenye haki anayeshindwa na uovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama vile chemchemi iliyotibuliwa matope au kisima kilichotiwa taka ndivyo alivyo mtu mwenye haki akishiriki na waovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwenye haki amwangukiapo mtu mbaya Ni kama chemchemi iliyochafuka, Na kisima kilichokanyagwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwadilifu akubaliye kufuata mambo ya mwovu, ni chemchemi iliyochafuliwa au kisima kilichotibuliwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama chemchemi ivurugikavyo au kama kisima kiharibikacho ni mwongofu atukutikaye machoni pake asiyemcha Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwenye haki amwangukiapo mtu mbaya Ni kama chemchemi iliyochafuka, Na kisima kilichokanyagwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwenye haki anayekubali kufuata mambo ya mwovu ni chemichemi iliyochafuliwa au kisima kinachotofuliwa.