Proverbs 25:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Toa takataka katika fedha, na mhunzi atakutengenezea chombo kizuri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ondoa takataka kwenye madini ya fedha, na ndani yake kutatokea chombo cha mfua fedha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ondoa takataka katika fedha, Na chombo kitatokea kwa mtakasaji;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Toa takataka katika fedha, na mhunzi atakutengenezea chombo kizuri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ondoa takataka kwenye madini ya fedha, nako ndani yake kutatokea kitu halisi kwa ajili ya mfua fedha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ondoa takataka kwenye madini ya fedha, nako ndani yake kutatokea chombo cha mfua fedha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ondoa takataka katika fedha, Na chombo kitatokea kwa mtakasaji;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Toa takataka katika fedha, na mhunzi atakutengenezea chombo kizuri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu akiondoa mitapo katika fedha hutengeneza chombo kinachomfaa mwenye kuyeyusha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ondoa takataka katika fedha, Na chombo kitatokea kwa mtakasaji;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Toa takataka katika feza, na mufuaji wa vyuma atakutengenezea chombo kizuri.