Proverbs 25:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waondoe waovu mbele ya mfalme, na utawala wake utaimarika katika haki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ondoa waovu mbele ya mfalme, nacho kiti chake cha ufalme kitaimarishwa kupitia kwa haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwondoe asiye haki mbele ya mfalme, Na kiti chake cha enzi kitathibitika katika haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waondoe waovu mbele ya mfalme, na utawala wake utaimarika katika haki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ondoa waovu mbele ya mfalme, nacho kiti chake cha enzi kitaimarishwa kwa njia ya haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ondoa waovu mbele ya mfalme, nacho kiti chake cha enzi kitaimarishwa kwa njia ya haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwondoe asiye haki mbele ya mfalme, Na kiti chake cha enzi kitathibitika katika haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waondoe waovu mbele ya mfalme, na utawala wake utaimarika katika haki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu akimwondoa asiyemcha Mungu machoni pake mfalme, kiti chake cha kifalme hupata nguvu kwa wongofu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwondoe asiye haki mbele ya mfalme, Na kiti chake cha enzi kitathibitika katika haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaondoe waovu mbele ya mufalme, na utawala wake utaimarika katika haki.