Proverbs 25:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
usiharakishe kuyapeleka mahakamani; maana utafanya nini hapo baadaye, shahidi mwingine akibatilisha hayo usemayo?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
usiharakishe kukipeleka mahakamani, maana utafanya nini mwishoni kama jirani yako atakuaibisha?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usitoke nje kwa haraka ili kuyashindania; Usije ukakosa kujua la kutenda hatimaye, Mwenzako atakapokuwa amekuaibisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
usiharakishe kuyapeleka mahakamani; maana utafanya nini hapo baadaye, shahidi mwingine akibatilisha hayo usemayo?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
usiharakishe kukipeleka mahakamani, maana utafanya nini mwishoni kama jirani yako atakuaibisha?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
usiharakishe kukipeleka mahakamani, maana utafanya nini mwishoni kama jirani yako atakuaibisha?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usitoke nje kwa haraka ili kuyashindania; Usije ukakosa kujua la kutenda hatimaye, Mwenzako atakapokuwa amekuaibisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
usiharakishe kuyapeleka mahakamani; maana utafanya nini hapo baadaye, shahidi mwingine akibatilisha hayo usemayo?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usitokee upesi kugombana na mtu! Kwani mwisho utafanya nini, mwenzio akikutia soni?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usitoke nje kwa haraka ili kuyashindania; Usije ukakosa kujua la kutenda hatimaye, Mwenzako atakapokuwa amekuaibisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mambo uliyoona kwa macho yako, usiharakishe kuyapeleka katika tribinali; maana utafanya nini kwa mwisho, kama jirani yako anakupatisha haya?