Proverbs 25:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Suluhisha ugomvi na mwenzako peke yake, na kila mmoja wenu asitoe siri ya mwenzake;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukifanya shauri na jirani yako, usisaliti siri ya mtu mwingine,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ujitetee na mwenzako peke yake; Bali usiifunue siri ya mtu mwingine;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Suluhisha ugomvi na mwenzako peke yake, na kila mmoja wenu asitoe siri ya mwenzake;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ukifanya shauri na jirani yako, usisaliti siri ya mtu mwingine,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ukifanya shauri na jirani yako, usisaliti siri ya mtu mwingine,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ujitetee na mwenzako peke yake; Bali usiifunue siri ya mtu mwingine;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Suluhisha ugomvi na mwenzako peke yake, na kila mmoja wenu asitoe siri ya mwenzake;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama yako ya kupigania na mwenzio, yapiganie! Lakini usifunue shauri la njama ya mwingine,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ujitetee na mwenzako peke yake; Bali usiifunue siri ya mtu mwingine;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utengeneze ugomvi na mwenzako peke yake, na kila mumoja wenu asitoe siri ya mwenzake;