Proverbs 26:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu amwajiriye mpumbavu au mlevi, ni kama mpiga upinde anayejeruhi kila mtu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama mpiga upinde ambaye hujeruhi ovyo, ndivyo alivyo yeye aajiriye mpumbavu au yeyote apitaye njiani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Fundi stadi hufanyiza vitu vyote; Bali amwajiriye mpumbavu ni kama awaajiriye watu wapitao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu amwajiriye mpumbavu au mlevi, ni kama mpiga upinde anayejeruhi kila mtu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mpiga upinde ambaye hujeruhi ovyo, ndivyo alivyo yeye aajiriye mpumbavu au ye yote apitaye njiani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mpiga upinde ambaye hujeruhi ovyo, ndivyo alivyo yeye aajiriye mpumbavu au yeyote apitaye njiani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Fundi stadi hufanyiza vitu vyote; Bali amwajiriye mpumbavu ni kama awaajiriye watu wapitao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu amwajiriye mpumbavu au mlevi, ni kama mpiga upinde anayejeruhi kila mtu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Fundi hutengeneza yote mwenyewe, lakini mpumbavu atafutaye watu wa mshahara huwapa kazi ya mshahara walio wapitaji tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Fundi stadi hufanyiza vitu vyote; Bali amwajiriye mpumbavu ni kama awaajiriye watu wapitao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu anayemulipa mupumbafu au mulevi kusudi amutumikie, ni kama mupiga upinde anayeumiza kila mutu.