Proverbs 26:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mpumbavu anayerudiarudia upumbavu wake, ni kama mbwa anayekula matapishi yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama mbwa ayarudiavyo matapiko yake, ndivyo mpumbavu arudiavyo upumbavu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama vile mbwa arudiavyo matapiko yake; Kadhalika mpumbavu afanya upumbavu tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpumbavu anayerudiarudia upumbavu wake, ni kama mbwa anayekula matapishi yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mbwa ayarudiavyo matapishi yake, ndivyo mpumbavu arudiavyo upumbavu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mbwa ayarudiavyo matapiko yake, ndivyo mpumbavu arudiavyo upumbavu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama vile mbwa arudiavyo matapishi yake; Kadhalika mpumbavu afanya upumbavu tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpumbavu anayerudiarudia upumbavu wake, ni kama mbwa anayekula matapishi yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama mbwa anavyoyarudia matapiko yake, ndivyo, mpumbavu anavyoufanya ujinga wake mara ya pili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama vile mbwa arudiavyo matapiko yake; Kadhalika mpumbavu afanya upumbavu tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mupumbafu anayerudiliarudilia upumbafu wake ni kama imbwa anayekula matapiko yake.