Proverbs 26:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mvivu huutia mkono wake katika sahani ya chakula, lakini hawezi kuuinua hadi mdomoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu mvivu hutumbukiza mkono wake kwenye sahani, naye huchoka kuupeleka kwenye kinywa chake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu mvivu hutia mkono wake sahanini; Kwamchosha kuupeleka tena kinywani pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mvivu huutia mkono wake katika sahani ya chakula, lakini hawezi kuuinua hadi mdomoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mvivu hutumbukiza mkono wake kwenye sahani, naye hushindwa kuurudisha tena kinywani mwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu mvivu hutumbukiza mkono wake kwenye sahani, naye huchoka kuupeleka kwenye kinywa chake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu mvivu hutia mkono wake katika sahani; Kwamchosha kuupeleka tena kinywani pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mvivu huutia mkono wake katika sahani ya chakula, lakini hawezi kuuinua hadi mdomoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mvivu akiutia mkono wake katika bakuli hushindwa kuurudisha kinywani mwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu mvivu hutia mkono wake sahanini; Kwamchosha kuupeleka tena kinywani pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muvivu anatia mukono wake katika sahani, lakini anachoka kwa kuuinua mpaka kwenye mudomo.