Proverbs 26:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mvivu hujiona kuwa mwenye hekima kuliko watu saba wawezao kujibu kwa busara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu mvivu ni mwenye hekima machoni pake mwenyewe, kuliko watu saba wawezao kujibu kwa busara.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu mvivu ni mwenye hekima machoni pake, Kuliko watu saba wawezao kutoa sababu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mvivu hujiona kuwa mwenye hekima kuliko watu saba wawezao kujibu kwa busara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mvivu ni mwenye hekima machoni pake mwenyewe, kuliko watu saba wawezao kujibu kwa busara.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu mvivu ni mwenye hekima machoni pake mwenyewe, kuliko watu saba wawezao kujibu kwa busara.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu mvivu ni mwenye hekima machoni pake, Kuliko watu saba wawezao kutoa sababu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mvivu hujiona kuwa mwenye hekima kuliko watu saba wawezao kujibu kwa busara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mvivu ni mwerevu wa kweli machoni pake kuliko watu saba wanaojua kujibu vizuri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu mvivu ni mwenye hekima machoni pake, Kuliko watu saba wawezao kutoa sababu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muvivu anajiona kuwa mwenye hekima kuliko watu saba wanaoweza kujibu kwa akili.